USAJILI RASMI
Karibu Kwenye Mfumo Rasmi wa Usajili wa USHIRA
Usajili huu ndiyo hatua rasmi ya kutambulika ndani ya mifumo ya USHIRA. Tafadhali jaza taarifa sahihi na zinazoweza kuthibitishwa kwa ajili ya uhakiki, usalama wa mfumo na utambulisho wa mwanachama.
Mfumo Salama
Uhakiki wa Taarifa
Usajili wa Kidigitali
Utambulisho wa Mwanachama Hai
KUELEWA MFUMO
Chagua Njia Sahihi ya Kujiunga
Kuna tofauti kubwa kati ya kushiriki Sisi kwa Sisi na kuwa Mwanachama Hai wa USHIRA
Mpango wa Sisi kwa Sisi
Usajili wa Sisi kwa Sisi
Kujiunga kwenye Upatu wa Kidijitali wa kila siku na kushiriki mfumo wa "Tuinuane".
- Kupata nafasi kwenye mzunguko wa siku 100
- Kushiriki kwa kiwango alichochagua
- Mzunguko wa kifedha unaoendeshwa kidigitali
- Uwazi na ufuatiliaji wa kila siku
Uanachama Rasmi
Usajili wa Uanachama wa USHIRA
Kutambulika rasmi kama Mwanachama Hai ndani ya mfumo wa Umoja wa Shida na Raha.
- Kutambulika rasmi kama Mwanachama Hai
- Kushiriki mifumo ya ustawi na mshikamano
- Kupata haki za mwanachama kwa mujibu wa Katiba
- Kushiriki kura na mifumo ya Umoja
- Kutambulika ndani ya Katiba ya USHIRA
Taarifa Muhimu Kabla ya Kujaza Fomu
Mwanachama Hai lazima awe amesajiliwa rasmi na kuthibitishwa ndani ya mfumo wa USHIRA.
- Tumia taarifa halisi zinazofanana na NIDA yako
- Namba ya simu lazima iwe active WhatsApp
- Taarifa zote zinafanyiwa uhakiki wa kiwango cha juu
- Taarifa za uongo zinaweza kusababisha usajili kufutwa
- Mfumo unatunza kumbukumbu rasmi za wanachama
- Taarifa zako zinalindwa kwa mifumo ya usalama wa data
Fomu ya Usajili Rasmi
Jaza taarifa zako kwa usahihi kwa ajili ya uhakiki na utambulisho
Taarifa Zako Zinalindwa
Mfumo wa Kidigitali Salama
Uhakiki wa Wanachama
Ulinzi wa Data
Uendeshaji kwa Mujibu wa Katiba